Magari yote niliyokua nayo ilinibidi niyauze,” jamaa asimulia
Mke wangu ambaye tulikua tumekaa kwenye ndoa kwa miaka minne, siku moja aliamka na kuniarifu ameamua kunipa talaka, kisa cha kufanya hivyo ni kwa sababu sina fedha za kuweza kumlinda na kumtunza kama inavyohitajika.

Nilipigwa na butwaa mbona aliamua kufanya hivyo kwani tulikuwa tumekaa naye kwenye ndoa kwa miaka minne bila hayo mambo ya talaka kuwahi kutokea