













Achana na kazi za manyanyaso, fanya hivi upate kazi nzuri!
Jina langu ni Jose kutoka Mombasa, baada ya kumaliza chuo kikuu sikukaa muda mrefu bila kupata ajira, nilipata kazi katika kampuni fulani ya mawasiliano na nilikuwa nikilipwa mshahara wa wastani.

Nilikuwa mimi ndio tegemeo la familia yangu kwani dada na ndugu zangu wengine walikuwa wametekwa na anasa za dunia na hapo hawakushugulika sana na watu wengine kwenye familia