Jinsi ya kukuza biashara ya Hoteli kwa haraka!
Ama kwa hakika huwa ni ndoto ya kila mfanyabiashara kujiendeleza na kufanya biashara ambayo itamletea faida kila wakati katika hali yoyote ile. Hii ilikuwa tofauti sana kulingana na biashara yetu ya hoteli.

Kwa jina ni Grace kutoka Dar es Salaam, mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hoteli katikati ya jiji la Dar, na mara nyingi biashara ile haikuwa na mafanikio yeyote.