NAACHIKA SANA LICHA YA KUWA NA SHEPU NZURI


Naachika sana licha ya kuwa shepu nzuri!

Jina langu ni Esma kutokea Mbeya, nilikuwa mwanamke aliyetamanika na mwenye umbo lililofanya wanaume wengi kunitamani kwani nilikuwa katika miaka ya kuonyesha uzuri wangu.

Kando na sura nzuri na umbo la kutamaniwa, nilikuwa mfanyibiashara ambapo nilikuwa nauza bidhaa za kujipodoa ambapo biashara ile ilikuwa imenoga ajabu, kwa hivyo fedha nilikuwa nazo.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464